Mji wa Kinshasa-DRC. Vyombo vya habari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, vimeripoti kuwa, kaburi kaburi la umati ambamo kulizikwa mamia ya watu limegundulika karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa. Waziri wa Mambo ya Ndani wa DRC, Evariste Boshab Mabudj Kanali wa RTBFTV wa Kongo ametangaza kuwa, zaidi ya watu 425 walizikwa pamoja ndani ya kaburi hilo. Hata hivyo vyombo vya habari vina shaka juu ya namna ambavyo mauaji hayo yalivyofanyika na ni nani muhusika wake. Baadhi wananchi wanasema kuwa,…
Loading...
Post a Comment