Loading...
PICHA..!10 WAKUTWA NA SILAHA, MABOMU NA BENDERA YA ALSHAABAB.! BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAO
Morogoro. Watu 10 wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab wa nchini Somalia.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa polisi mkoani Morogoro, Leonald Paul alisema tukio hilo limetokea jana (Aprili 14 mwaka huu) majira ya saa 3.30 usiku katika kitongoji cha Nyandero, tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero.
Aidha alisema siku ya tukio polisi walipata taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu watu hao na kwamba walitaarifiwa kuwa wanajihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu na polisi waliamua kufatilia nyendo zao.
Kamanda huyo alisema walianza kuwasaka watu ambao walipata taarifa wapo katika Msikiti wa Suni uliopo Kidatu.
“Polisi walipofika katika msikiti huo waliuomba uongozi wa msikiti huo kuwatoa watu wote waliokuwa msikitini ili kuweza kubaini watu ambao wanatiliwa mashaka,”
Alisema polisi waliendelea na ukaguzi na kuwakamata watu hao 10 wakiwa na vifaa hivyo na kuwatia nguvuni. Na mmoja kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kumjeruhi askari mmoja na panga.
PICHA: WALEWA NA KUFANYA VITU VYA AJABU.. BOFYA KUONA PICHA




Ama kweli Ng'ombe hazeeki maini muona huyu Babu akifanya yake na mtoto wa kishua hapo kashikilia goma!
WASICHANA WA AINA HII NI HATARI SANA KUWA NAO KIMAPENZI

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..
1.Demu wako wa zamani Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba hakikamwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu, ndani ya hizo sababu kuna vitu vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini utagundua ni za asili na ambazo si rahisi kwa mmoja wenu kuzibadilisha sababu ni vitu au mambo ambayo yatakuwa ni ya damuni.
2.Dada wa rafiki yako kipenzi
Epukana na kujiingiza kwenye mahusiano na dada wa rafiki yako. Si tu kwamba utaweza kujiingiza kwenye uhasama na chuki kama mambo hayatakwenda sawa, ila pia utaweza kujiweka kwenye mazingira ya kujikuta siku moja unapigwa hata ngumi za uso sababu tu ulimuumiza dada yake. Pia, utaweza kumkosa mtu ambaye ndie alikuwa ni kimbilio lako kwa mambo mbalimbali pale ambapo itatokea wewe na dada yake mambo kutokwenda sawa, sababu hapo patakuwa na mgongano wa kimaslahi kwa huyo rafiki yako.3.Wanawake wenye mambo mengi
Kiukweli, kutoka na watu kama hawa kinaweza kuwa ni kitu cha kufurahisha, ila mwisho wa siku itakuingiza kwenye matatizo. Mara zote kumbuka ni vyema kuwa salamakuliko kujuta. Usijiingize kwenye majaribu ambayo utakuja kuyajutia kwa maisha yako yote.
4.Wanawake wanaopenda hela kupitiliza (Wachunaji)
Kuwa mbali nao, labda kama unatakasalio lako limalizike pasipo wewe kujifahamu. Naamini hili kila mmoja analifahamu na halihitaji darasa zaidi.5.Demu wa zamani wa rafiki yako
Kama unathamini urafiki wako na mshikaji wako achana na habari ya kutoka na aliyekuwa demu wake. Mambo yanaweza kubadilika na kuwa kama au zaidi ya yaliyotokea kwa rafiki yako na ikaja kula kwako zaidi. Wakati mwengine inaweza tengeneza chuki kati yako na rafiki yako, huku akiamini kwamba ulikuwa unatoka au kumnyemelea demu wake toka zamani.Wadau mademu wapo wengi sana, fanya kutafuta wengine nje ya hawa….. ni ushauri tu.VIDEO: ALSHAABAB WANENA KUHUSU KUISHAMBULIA TANZANIA..

THE NEWS FROM RADIO YARAT FM OF SOMALIA AT 0800hrs this morning in the MAKHAR TWALLIB program; The Al-Shabaab leader responding to the question about attacking Tanzania, said that they havenever thought of attacking Tanzania for the following reasons; FIRST they have no reason to do so since they have never forgotten the 500000 tons of maize that in 1995 Nyerere gave to their country during famine. They cannot pay evil for good
BREAKING NEWS; THE WORST ACCIDENT AGAIN IN TANZANIA..!!
Basi la abiria la Nganga likionekana kuteketea kwa moto baada ya kugongana na Fuso majira ya saa mbili asubuhi leo Aprili 12, huko eneo la Ruaha Mbuyuni (Picha kwa mujibu wa mitandao ya kijamii).
Basi hilo (kulia) na Fuso (kushoto) yakionekana katika ajari hiyo
Linavyoonekana basi hilo kwa sasa baada ya ajari hiyo….
Hadi sasa vyanzo vya ajali vinaeleza kuwa bado idadi ya vifo na majeruhi haijafahamika. Baada ya kugongana huko, magari hayo yote yaliwaka moto. (TAZAMA PICHA).
.jpg)
.jpg)
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la Nganga linalofanya safari zake kati ya Kilombero na Iringa mjini limepata ajali mbaya baada ya kugongana na Fuso uso kwa uso na hatimaye magari hayo kushika moto na kuteketea katika maeneo ya Ruaha Mbuyuni kilomita kadhaa kutoka mjini Iringa.
Habari zaidi zinasema kuwa watu kadhaa waliokuwemo katika basi hilo wamepoteza maisha akiwemo pia dereva wa Fuso ajali hiyo imetokea majira ya asubuhi ya leo..R.I.P