Basi la abiria la Nganga likionekana kuteketea kwa moto baada ya kugongana na Fuso majira ya saa mbili asubuhi leo Aprili 12, huko eneo la Ruaha Mbuyuni (Picha kwa mujibu wa mitandao ya kijamii).
Basi hilo (kulia) na Fuso (kushoto) yakionekana katika ajari hiyo
Linavyoonekana basi hilo kwa sasa baada ya ajari hiyo….
Hadi sasa vyanzo vya ajali vinaeleza kuwa bado idadi ya vifo na majeruhi haijafahamika. Baada ya kugongana huko, magari hayo yote yaliwaka moto. (TAZAMA PICHA).
.jpg)
.jpg)
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la Nganga linalofanya safari zake kati ya Kilombero na Iringa mjini limepata ajali mbaya baada ya kugongana na Fuso uso kwa uso na hatimaye magari hayo kushika moto na kuteketea katika maeneo ya Ruaha Mbuyuni kilomita kadhaa kutoka mjini Iringa.
Habari zaidi zinasema kuwa watu kadhaa waliokuwemo katika basi hilo wamepoteza maisha akiwemo pia dereva wa Fuso ajali hiyo imetokea majira ya asubuhi ya leo..R.I.P
Post a Comment